Shirika la La CENE Littéraire limezindua rasmi mashindano ya uandishi wa fasihi uitwao, “Kalahari Short Story Competition”.
Kushiriki katika mashindano ni bure. Shindano hili liko wazi kwa waandishi wote ambao hawajachapisha kitabu. Ikiwemo watu wa mataifa yote licha ya umri au sehemu wanaoishi.